Ushauri juu ya hii website ya movie niliyoitengeneza

Tony guy

Senior Member
Sep 29, 2015
107
44
habari wwana JF,
hivi majuzi nimekuja na wazo la kutengeneza website ya movie ambazo nitakuwa napost movie zilizo tafasiliwa kiswahili na ambazo hazija tafasiliwa kweli nimefanikiwa nanimeona ili na mimi niwe napata kidogo nataka niweke system ya mtu akitaka ku-download au kutazama movie awe analipia 1000 kwa siku na anatazama movie zote sema hiyo system bado sijaiweka kwani ni ngumu saya kuweka membership plug, sasa nimeileta kwenu wadau ili mnipe ushauri hii website imekaaje na nini niboreshe ili iwe bora zaidi afrika mashariki maana hamina kitu kama ichi na mimi ndio wa kwanza kuitazama website yenyewe BONYEZA HAPA au hapa==>>Muvika Online
NAOMBENI USHAURI WENU WA MAWAZO
 
Hata Mark aliamza hivyo...usikatr tamaa naoona website inamwonrkano muruwa ila mbona umeifanya kuwa subdomain ya fleva.net au imekaaje hapo?!
nimefanya hivyo kwa sababu 1 tu. nataka niwe na product zaidi ya 5 ambazo zitakuwa zinatokana na domain kwani hii nimemuiga google kwani ana producti zaidi ya 10 na zote ni subdomain. KWANI HII NI MBAYA NDUG?
 
Hapana hiyo ni nzuri saana maana pia inafanya hulipi madomain meeengi mfano mimi nina project yangu www.safarispackages.com ila pia zipo sub kama www.ice.safarispackages.com
Www.nak.safarispackages.com na zaidi kama nitakavyo au uhitaji utakavyo kuwa lakini mwisho wa siku nalipia domaim moja tu.

Kama fleva.net ni yako sina mashaka ndugu.
 
NDIO fleva.net ni yangu kwani nayenyewe nimeibuni kwani nikipata wadamini nataka niwe nanunua nyimbo na kuzipachika matangazo
 
Keep it up bro; huenda watu wasielewa sasa ufanbyacho ila baadae watakuwa watumiaji wazuri wa ubunifu wako!
 
habari wwana JF,
hivi majuzi nimekuja na wazo la kutengeneza website ya movie ambazo nitakuwa napost movie zilizo tafasiliwa kiswahili na ambazo hazija tafasiliwa kweli nimefanikiwa nanimeona ili na mimi niwe napata kidogo nataka niweke system ya mtu akitaka ku-download au kutazama movie awe analipia 1000 kwa siku na anatazama movie zote sema hiyo system bado sijaiweka kwani ni ngumu saya kuweka membership plug, sasa nimeileta kwenu wadau ili mnipe ushauri hii website imekaaje na nini niboreshe ili iwe bora zaidi afrika mashariki maana hamina kitu kama ichi na mimi ndio wa kwanza kuitazama website yenyewe BONYEZA HAPA au hapa==>>Muvika Online
NAOMBENI USHAURI WENU WA MAWAZO
Sina utalaamu huo mkuu lakini Iko pouwa kikubwa mkuu uwe updated sana sio unakuwa na Movie za zamani sana nitahidi uendane na movies mfano unaweka movies ambazo sio za zamani....waneachia leo ww hata badae uitupie.....website isiwe na mizunguko mingi mtu akaitaka kupata anacho kitaka mfano kudownload movie kusiwe na mizunguko uwe direct mkuu am sure ata hizo bukubuku ukiweka utazipata zangu nyingi sana kikubwa iwe rahisi ku access
 
sawa mkuu waweza nisaidia process gani niweke mtu awe analipa hadi kuipata movie
 
Sijajua skills level yako ikoje.. But nijarbu tu kukushaur kwanza Jitahidi utengeneze visitors wakutosha then utumie ads serving networks kamavle Google AdSense etc kutengeneza mkwanja. But km unataka kufuma plugin itakayowezesha watu kulipia before downloading, u have a lot of stuffs to learn.. Kuna iasue za login systems kuwezesha website yako kucommunicate na database etc etc otherwise tafuta mtaalamu umlipe.. Kuna makampuni kibao loko kmvle bongo5.com wanadeal na hayo mambo.. All in all.. I wish you all tha best!
 
Website iko poa sana yan kama mbele tu, swali ni moja tu, je hizo muvi unampango wa kuwalipa wamiliki wa hizo muvi?
-Bila kuwalipa utakuwa unafanya copyright infringement.
-Bei uliyoweka ni nzuri kwa watu wa kawaida, Je itaendana na bei ya muvi yenyew original(kwa mfano Deadpool $24.4)?

Ahsante.
 
unavyoweka hzo muvi kwenye tovuti yako unawafikiriaje wamiliki wa hzo muvi,unaingia nao mikataba?,usije kunyea debe mkuu,mambo mengine hayaendi kienyeji,yanaweza kukugharim ukiingia kichwa kichwa
 
Back
Top Bottom