Petronfrancis
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 329
- 130
Wadau wote wa humu naomba msaada kwa yeyote mwenye url. ya chaneli za hapa tz aniwekee hapa nami nifurahie tv za hapa kwetu tz. Natanguliza shukurani kwenu.
Msaada jamani, sisi huku tulio mabali na nyumbani huwa tunatamani sana kuona tv za nyumbani ili kujua vitu vinavyoendelea, zamani tulikuwa tunapata na azam tv, lakini sasa imeondoka. Hebu tusaidieni kama kuna hizo link za kuweza kuziona tv za tanzania online kwa kutumia vlc au kwa ujanja wowote mwingine. Kwa sasa naona stat vt tu. msaada ndugu zanguni.
Atume txt wapi?nimepata file la East africa tv but some of channels.... ukitaka tuma txt
Hlo file lina Tv1?!nimepata file la East africa tv but some of channels.... ukitaka tuma txt
Hebu tuma hapa mkuu wote tufaidinimepata file la East africa tv but some of channels.... ukitaka tuma txt
Tuma hadharani!!Hlo file lina Tv1?!