intermediate
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 232
- 166
Wakuu..moja kwa Moja bila kumumunya maneno. Nilinunua hii LG Yangu wameniambia ni hizi digital yaan zina king'amuzi kwa ndani kwa hiyo mi nikuweka antenna tu. Na kupata hizi local Chanel free.. na hizo zingine sijui ntalipia sasa sijui nalipia wapi? Nimefanya auto search imeleta Chanel nyingi tuu lakini nikifungua zinaniandikia scrambled chanel.. nimebadilisha kila aina ya antenna na position mpaka nimefunga antenna ya nje lakini bado bila bila.. naomba msaada tafadhali hapo wanajukwaa.. Ahsante