ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Mara kadhaa nimekuwa nikienda google na kuangakia specifications za HTC ONE M9 PLUS naziona pale zimewekwa na Simu ipo lakini nilipo ingia kwenye website ya HTC sioni wakiitangaza wala kuzungumzia HTC ONE M9+ kikubwa wana niambia Device not Found!
Sasa najiuliza je hizi huwa zinakuwa Fake au huwa inakuwaje
NA KINGINE HIVI HIZI ACCESSORIES TUNAZO UZIWA BONGO ZOTE NI FAKE AU INAKUWAJE MAANA BEI YAKE NI TOFAUTI NA ZA HUKO
earphone inauzwa zaidi ya 80,000 kweli? Akati huku bongo 8000 hadi 30000 hivi