...Maelezo haya hapa, yanaweza kukusaidia kuelewa na kutafsiri.Wakuu huwa napata wakati mgumu kutafsiri hii equation ya Mkulu Albert Einstein je alimaanisha nini kusema energy ni sawa sawa na uzito yani mass kuzidisha Speed ya mwanga iliyo squared?