Msaada: simu kushidwa kudownload apps

Lutena

Member
May 26, 2015
31
4
Habar wakuu: cm yangu ni Tecno P-5 inashidwa instal apps, inaanza kwa kudownload kisha kuinstal ktk cm inakataa kama picha inavyoonesha, cjui tatizo ni nn? Wenye ujuz mnijuze pls;
 

Attachments

  • 1460695737826.jpg
    1460695737826.jpg
    36.4 KB · Views: 45
Restore simu yako, lakn pia angalia storage pia huenda kuna apps nyingi au files, punguza
 
Back
Top Bottom