Umeme wa sola

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,542
4,117
Katika vifaa vya umeme wa solar...kuna kampuni nyingi sana zinatengeneza hivi vifaa ikiwamo panel battery radio tv taa pasi friji.. ...

Moja ya kampuni ambavyo vifaa vyake vipo chini ni:-
1 Sundar
2 Tandar

Nyingine zilizopo juu kwa bei ni SOLAR CELL.

JE PANEL KUWA NA BEI KUBWA NDO INAONESHA UBORA WAKE?
 
Panel ubora wake ni inategemea na material centre layer ni silicon sasa
kama ni pure silicon basi vizuri lakini ukubwa wa panel ni factor nzuri kwa kutegemea na size ya battery , Panel is directly proportional to the battery huwez kuwa na kisoda ukasema uchote maji ujaze pipa
 
  • Thanks
Reactions: Ok9

Well nina betri N100. Nataka panel 200watts.
Ntajuaje kama ni pure silcon?
 
Back
Top Bottom