Windows Partition

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
520
Wakuu habari ya majukumu,naomba mnisaidie nimeshrink disk yenye window then ikatengeneza unallocated free space disk sasa nataka hii disk niiweke kwenye local disk D.Je nitafanyaje kufanikisha hili jambo.
 
tumia aomei partition assistant
 
Wakuu habari ya majukumu,naomba mnisaidie nimeshrink disk yenye window then ikatengeneza unallocated free space disk sasa nataka hii disk niiweke kwenye local disk D.Je nitafanyaje kufanikisha hili jambo.
unatumia window gan mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom