memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 256
- 163
Baada ya kusoma sana prons and cons ya kuroot nimegundua wengi wanaojuta baada ya kuroot huwa wana delete system file la simu sasa kwa hiari yangu bila ya kushawishia na mtu nataka kuroot simu yangu na sitafanya kosa la kudelete application yoyote ambayo ipo kwa simu.
NIA YANGU YA KUROOT KUNA VIRUS WAWILI WANANITIBUA MMOJA ANAITWA "ENGRIKS NA MWENZIE PRO"yaani hawa watu nikiwaunistall hawatoki nimeweka cm security,stubborn trojan killer,360 wapi....ila stubborn trojan killer inanambia ni root simu.
HIVYO YAANI!