Msaada: Port Forward Tigo Modem

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
369
Natafuta jinsi ya kufungua ports kadhaa kwenye Modem ya 4g. Hii ni kwa kusudi ya kufungua NAT type kwenye PS4/ Xbox.

Naomba msaada kwa wakuu wa hapa kama Chief-Mkwawa na Njunwa Wamavoko.
Kama haiwezekani kwa Tigo,kuna uwezekano wa mtandao mwingine? Maana kwenye dashboard ya Airtel naona kuna hadi settings za Static Ip. au modem ndo inachangia?
ports nazotafuta kuforward...
Forward Ports 53
Forward Ports 80
Forward Ports 88
Forward Ports 500
Forward Ports 3074
Forward Ports 3544
Forward Ports 4500

natanguliza shukurani
 
Siko oriented na hizo PS4 hivo sijui exactly lengo lako!

Ila as far as I know ukiwa unataka ku allow any connection to the router either from Local au remote network itakuwa rahisi ukiwa kwenye broadband ila kwa mitandao ya 3G/4G inakua vigumu Only Smile and Smart walikua na service ya kuku Permeat uweze kufanya hivo connections ila kwa kutoa some TZS.
 
i am stuck there as well. napata nat type 3. niliwatumia tigo email wakaniambia they are working on it lakini its been 15 days... no response. smart na smile zinafanya kazi vizuri ( nat type 2) lakini sema ina stuck kila ukicheza online. ina lag alot.
 
Back
Top Bottom