BABU twitter kamwe uwezi kufuta account ukiwa unatumia simu namaanisha kuwa account ya twitter unaweza kuifuta kwa kutumia pc labda na zile simu kubwa kabisaWakuu wenye utaaluma jinsi ya ku delete account ya twitter mfanao jina @Xy .. na Account ya Linked in naomba anaelekeze...
Natanguliza shukran za dhati..
Nashukuru sana mkuu ngojs nifanye hivyoKuhusu kujiondoa kwenye LinkedIn fanya yafuatayo:
(1)Ingia kwenye akaunti yako kwa kutumia password yako.
(2) Baada ya kuingia kwenye akaunti yako weka mouse kwenye picha yako au pale picha inapopaswa kuwa na hapo utaona options mbalimbali.
(3) Click kwenye Privacy and settings.
(4) Weka password yako tena kama utaulizwa. Kisha click kwenye account tab.
(5) Chagua palipoandika "close account".
(6) Thibitisha kuwa unataka kufuta akaunti yako kwa kuchagua sababu zilizoorodheshwa au kuandika sababu mpya.
Kwa upande wa Twitter sina uzoefu.
okSawa mkuu sasa naomba maelezo jinsi ya kuifuta kupitia Pc.
Nashukuru sana Mkuu...ok
1:- Ingia Kwenye Akaunti yako ya Twitter
2:- Bonyeza settings alafu shuka chini na hakikisha unabadlisha "Username" na "Email" kabla ya kufuta akaunti kwani hii itakusaidia ukitaka kufungua nyingine kwa hilo jina la awali
3: Baada ya Kubadilisha chini kabisa bonyeza "Deactivate my account."
4: Baada ya hapo itamalizia tena kwa Kubonyeza Deactive Username
ok usijaliNashukuru sana Mkuu...
"Once a Man wants to change Give him a chance"