Kuna njia nilijaribu na nikaweza.
WhatsApp Web ndo option.
Weka Google Chrome then ingia ktk www.web.whatsapp.com make sure un request desktop version ktk browser ya chrome. Then cha kufanya una intergrate kati ya what'sapp yako ktk simu na ipad yako ktk zile QR code. Ziki kubali utaona chats na majina yako yameamia ktk ipad. Hivyo utafurahia whatsapp ktk ipad.
Karibu mkuu
Picha yako haifunguki ila cha kufanya ni simple. NakujaView attachment 341377 mkuu izo QR code inabid iwepo iphone?, coz apa nna sumsang
Fungua whatsapp ktk simu yako then binya ktk option buttonView attachment 341377 mkuu izo QR code inabid iwepo iphone?, coz apa nna sumsang
Hatari mkuu,, asanteeFungua whatsapp ktk simu yako then binya ktk option button
Mfanoingia ktk whatsapp web.baada ya hapo. Utaona page kama hii wakikuelekeza jinsi ya ku intergratebaada ya hapo camera itafunguka kwaajili ya kusoma QR CODE
Turudi ktk ipad
Then fungua www.web.whatsapp.com ktk Google Chrome. Huku ukiwa ume "check" option. Ya REQUEST DESKTOP VERSION.
ITA LOAD THEN ITATOKEA QR CODE
MFANO
Then kutanisha QR code na camera.
Mkuu natumai utakuwa umeelewa
Karibu jukwaani mkuuNakushukuru saana sana
KaribuHatari mkuu,, asantee