Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,624
- 47,250
Wakuu habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Laptop yangu imekuwa na tabia hiyo,nikiwa naitumia ghafla inastop kuplay (kama ni mziki au movie or any App in use) alaf screen inakuwa na mwanga hafifu saana kiasi kwamba vitu katika desktop naviona kwa mbali au naweza nisivione kabisa.
Nikijaribu kuongeza brightness ya screen,nafika hadi highest level lakin hakuna changes zozote.
Ila nikiifunika na kuiacha kwa muda,badae nikiifunua inarudi kawaida. Nimeshindwa kujua tatizo ni nini. Mfano leo imefanya hivyo kama mara tatu hivi.
Msaada wenu kwa mwenye kulijua tatizo.
#Analyse.