Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,075
Wakuu,
Noamba ushauri. Nataka kununua modem kwa ajili ya WiFi kwa matumizi ya nyumbani, hivyo users watakuwa kama 5 au 6. Sasa hivi kuna hii ya TTCL Huawei 4G, na pia kuna Airtel 'Wingo'. Najua pia Vodacom, Smile na mitandao mingine wanazo.
Naomba ushauri ipi itanifaa katika matumizi ya nyumbani, hasa kwa TTCL, Airtel Wingo au Vodacom.
Natanguliza Ahsante.