Msaada wa namna ya kuunda "Gaming PC"

lemayan92

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
877
253
Habari za leo wakuu?
Nime Google namna ya kuunda Gaming pc nkaona labda nitaweza lakini kwa hapa TZ sijui ugumu wake utakuwaje kwasababu ya upatikanaji wa vifaa. Nina malengo ya kuunda Gaming pc kwa gharama nafuu na Gaming pc yenyewe nataka iwe ina specs za ukweli. Naomba msaada wa namna ya kuunda na hasa mahali pa kupata vifaa kwa bei nafuu.
Asanteni.
Lemayan Ole Elisha.
 
Back
Top Bottom