Tigo free youtube for 4G, 3G, 2G Users

Elvicepride

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
243
65
Tigo Announced this to their Facebook Page Today.

Sasa Usiku ni wako ukiwa na video za bure kutoka Tigo.

Furahia kuangalia video za YouTube bure usiku mzima bila kutozwa gharama za internet kutoka Tigo.

Kuanzia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili alfajiri kuangalia video ni buree ukiwa na Tigo.

Huitaji kujiunga na ni fasta na 4G
(Copied&Pasted).
 
For sure there is no free lunch my dear!
 
Tigo ninaowajua mimi wataanza kweli hivyo, watakupa free unlimited youtube lakini baada ya wiki itakuwa 100mb

ukiona manyoya,jua kuku kashaliwa Ndugu

Naamini hawataki kufanya hivo kwa wateja wao ila kwa sababu fulani inawabidi kubana

fb waweza bana sababu normal browsing 100MB zinaweza tosha ila je ku stream video utabana ili iwe je si bora utoe offer kabisa
 
Facebook+freebasics wamebana now hadi 50mb, hiyo ya youtube yangu macho tu lakini haito maliza nusu mwezi.

Lakini pia kumbuka at 144p waweza angalia video nyingi kwa 100mb
 
Ripoti:

Saa 6 ikafika video Mwanzo zikaanza kuzingua lakini ilipofika saa 6 na nusu mambo yakawa fresh.. 480p, 720p, 1080p zinapiga bila issue 3G pamoja na 4G..

Kudownload sijajaribu lakini kwenye youtube app waweza save for offline viewing sema zinapiga tu kwa app ya youtube na hauwezi hamisha au kuzipiga kwa Mx player or Vlc
 
Vipi mkuu unge karibu kutumia ile Modded app ya YouTube inaitwa OGYouTube.. Ile ina option ya kudownload...
Try leo mkuu... Mm situmii tigo that's why...
 
Back
Top Bottom