Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
habari ndugu zangu. Naomba kwa ambae lilishawahi kutokea hili kwake anisaidie nijue kama natendewa haki na Vodacom Mpesa.

Tarehe 3.3 nilikua natoa pesa bahati mbaya nikakosea nikatuma kwa namba tofauti ya wakala. Nililipoti tatizo cku hyo2 wakanambia ndani ya masaa 24 ntakua nimerudishiwa pesa yangu. Kinachonisikitisha mpk leo pesa yangu haijarudishwa nikiwapigia wanasema wakala hapokei cm.. Ndg zangu hv inaingia akilini wiki 2 inaenda ya 3. Vodacom wameshindwa kunisaidia eti wakala hapokei cm? mbona ikitokea mteja wa kawaida katumiwa pesa kimakosa huwa wanablock acc yake? Jamani nifanyeje nipate haki yangu kwa wakati? uhuni huu nimeshindwa kuvumilia. thanx for ur constructive advice. May God bless u.
 
watembelee ofcn kwao,ukiona bado wanazingua omba kuonana nameneja wao..pole sana
 
asante Scofied. Sikua na wazo hilo. Thanx 4 ur good idea.
 
nimeshasaidika wakuu kupitia hii post. Mungu ibariki JF Mungu mbariki Rogie
 
Last edited by a moderator:
habari ndugu zangu. Naomba kwa ambae lilishawahi kutokea hili kwake anisaidie nijue kama natendewa haki na Vodacom Mpesa.

Tarehe 3.3 nilikua natoa pesa bahati mbaya nikakosea nikatuma kwa namba tofauti ya wakala. Nililipoti tatizo cku hyo2 wakanambia ndani ya masaa 24 ntakua nimerudishiwa pesa yangu. Kinachonisikitisha mpk leo pesa yangu haijarudishwa nikiwapigia wanasema wakala hapokei cm.. Ndg zangu hv inaingia akilini wiki 2 inaenda ya 3. Vodacom wameshindwa kunisaidia eti wakala hapokei cm? mbona ikitokea mteja wa kawaida katumiwa pesa kimakosa huwa wanablock acc yake? Jamani nifanyeje nipate haki yangu kwa wakati? uhuni huu nimeshindwa kuvumilia. thanx for ur constructive advice. May God bless u.

Nilinunua umeme mpaka nikasahau,nikaenda kununua kwenye foleni,siku ya tatu ndo napata majibu ya mpesa..
 
Pole sana Gefu. Kumbe kale ka msemo hamia nini vile kana ukweli ndani yk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom