Wakuu hiki kinaitwaje!?

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu kuna connector moja inatumika kuunga kingamuzi na deck yani input zipo sita then output ni Tatu zinaenda kwenye Tv hichi kidubwasha kinaitwaje? kina switch katikati yani ukiswitch huku display ina show kingamuzi huku ni deck jina lake ni lipi?
 
hichi?

splitter kinaitwa au av splitter au RCA splitter

4.jpg
 
Back
Top Bottom