Msaada wa kupata drivers za set up my computer

g vizy

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
934
Reaction score
1,034
Naomba kusaidiwa kama kuna mtu anafahamu links ya kudownload drivers manake kuna baadhi ya program nikizi install hazimalizi installation kabisa zinakataa kwenye PC yangu kuna mtu akanishauri nitafute drivers

Ntashukuru wakuu
 
Computer yako ni aina gani? Model gani? Inatumia windows gani?
 
Back
Top Bottom