The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,230
- 116,844
Kuna mtu nimempa atazame simu yangu akagusa kitu
anasema ame restore..sijui kama ndo hivyo matokeo yake
kila kitu kimefutka...picha zote na apps zote
simu imekuwa kama mpya...
je kuna uwezekano wa kuzirudisha data hasa picha zilizokuwepo kabla?