Kuna Huu Mtandao Unaitwa SnapChat Nimedownload Application Yake Sasa Nashindwa Kutumia Kila Nikijaribu Naona Madudu Tuu Au Kwa Lugha Nyingine Nimeshindwa Jindi Ya Kutumia Sijui Huu Uzee Ndio...
Waungwana,
Ninamiliki simu inayotumia OS ya Android. Tangu jana mchana nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa namba inayodai kuwa "+1234" ikituma ujumbe unaosema "You're sending from Fake...
Wasalamu wana JF
Naomba kuuliza kuhusu ili suala la kugenerate pesa kwa kumiliki blogs na mitandao mingine ya kijamii, mimi sio mjuzi sana wa mambo ya kimitandao ila nimekuwa nikisikia kwamba...
Kwa bahati mbaya rafiki yangu kasahau pattern katika simu yake. SAMSUNG GALAXY GRAND CORE..mwenye kujua namna ya kurestore au njia nyingne ya kutoa.plz msaada wako ni muhimu sana
Wakuuu naomba kwa mwenye uelewa na hzi cm ukiflash znakua,na ttzo ama bado itaendelea kufanyakaz nlinunua kwny campuni ya tgo sasa nataka lain 1 iwe inaingia lain yoyote maana inaingia tgo...
Habarini za asubuh .
Natumia laptop ya dell nimeinstall windows 10 kwa kutumia usb device(flash) tatizo laptop sasa inapokea signal za wifi kutoka kwenye any windows phone only nikiconnect kwa...
naangalia game ya bayen na atletico kupitia app ya modro but inagandaganda na mtandao upofull,sasa nn tatizo msaada wataalam.Na tanguliza shukran zangu
Salama wadau,
Nimetumia Distros kadhaa kama openSuse, Fedora, Mint, nk ila kwenye wired network zinashindwa kupata address, nkiweka manually inasema connected ila kunakuwa hakuna flow yoyote ya...
Hivi ninaweza kupost video za watu wengine kwa mfano music,movies or somw thing esle katika youtube channel na nkapiga mitonyo na AdSense kama kawaida au inakuaje kuaje ii wakuu mnweke wazi kidogo jmn
Je, wajua mtu aliyevumbua nambari ya siri maarufu kama PIN ambayo watu wengi hutumia katika kadi za benki na katika kufanya malipo hakulipwa chochote kutokana na uvumbuzi wake?
Mwanamume huyo si...
Tafadhali ndgu wa jukwaa la tech naomba msaada wenu namna ya ku upgrade tecno c8 yangu kwenda HiOS manager nimeona matangazo yao kwenye fb nimekuwa interested sana. Mwenye kujua kuhusu hili...
Habari zenu wadau ..
Kuna tatizo limetokea kwenye sim yangu jana , kwamba kama simu iki lock , halafu niki unlock ina display white screen , Niki touch screen inaanzaa kuleta matangazo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.