Opera Browser sasa ina free unlimited VPN!!

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,780
10,710
opera-free-vpn-service.png

We are the first major browser maker to integrate an unlimited and free VPN or virtual private network. Now, you don’t have to download VPN extensions or pay for VPN subscriptions to access blocked websites and to shield your browsing when on public Wi-Fi.

Habari njema kwa watafuta privacy
 
Mhhh kunitoa chrome bado Sanaa... Lakini wanajitahidi, maana sema ukweli sijawahi kuona umuhimu wa kutumia Vpn kabisa
 
Mhhh kunitoa chrome bado Sanaa... Lakini wanajitahidi, maana sema ukweli sijawahi kuona umuhimu wa kutumia Vpn kabisa
vpn ni kujipa kiburi tu mtandaoni but ni nothing kujidanganya upo anonymous
 
hivi opera na mozira nani mkari washkaji zangu wengi wanapenda MOZIRA
Lkn mimi kwa OPERA uniambii kitu kabisa
kila browser ina faida zake mimi pia firefox ndio browser yangu ya kila siku ila kila browser ina feature zake unique, opera ina vpn na opera turbo ambazo huzipati browser nyengine, firefox wana plugins, extensio na engine ya browser unique, chrome anaweza kurun app za android, edge ni nyepesi etc
 
Sijui ni hisia zangu tu yaani chrome naliona slow kweli
 
Samahani mkwawa naomba au mtu yoyote anipatie maelekezo hivi kuflashi simu za smart ni lazima uwe na mabox yale naona kila mflash simu anayo
 
Kaka mimi na shida naomba msaada wako laptop yangu imeandika inter current password aina ya ni dell inspiron 15 3521 msaada mkuu
 
Samahani mkwawa naomba au mtu yoyote anipatie maelekezo hivi kuflashi simu za smart ni lazima uwe na mabox yale naona kila mflash simu anayo
Most of smartphone unaweza flash bila box,ila ss kuna baadhi ya service kma ku unlock network,ku repair imei,ku repair bootloder and etc,huwezi pata bila kuwa na box,tena tofauti coz kila box inasoma different chip ambazo zipo kwenye different phone
 
Kaka mimi na shida naomba msaada wako laptop yangu imeandika inter current password aina ya ni dell inspiron 15 3521 msaada mkuu NAOMBA MSAADA JAMANI
 
Back
Top Bottom