JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,769
Salaam wakuu. Nina tablet aina ya Vodafone Smart Tab 3G ambayo inakubali tuu kutumia line ya voda. Nikiweka line ya mtandao mwingine inaniambia niingize code za network restriction. Nimeshauriwa nifanye factory reset lakini haikuondoa tatizo. Naombeni msaada nini chakufanya niweze kutumia mtandao mwingine wakuu.