IamError_D
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 434
- 95
Naombeni APN setting za mtandao tajwa. Nimejaribu "internet" imekataa
Anza na Name:ttclNaombeni APN setting za mtandao tajwa. Nimejaribu "internet" imekataa
Kama za TTCL tu!Na mm naombeni za halotel
Okay, lakini kwenye kujaza c kuna vitu zaidi ya hivyo au vitakuja automaticallyKama za TTCL tu!
Name:Halotel
APN: internet
Hakuna zaidi, inatosha hivi hivi.Okay, lakini kwenye kujaza c kuna vitu zaidi ya hivyo au vitakuja automatically
Okay poa poaHakuna zaidi, inatosha hivi hivi.