Aisee kwa muda mrefu nilikuwa naiaminia internet speed ya airtel..lakini kwa hizi siku za karibuni...kasi ya airtel ni ndogo mno...kama konokono....kufungua kapage kadogo dogo tu kapdf kanaloooodi...mumeshatuboa airtel..mjipange upya...mbaya zaidi umenunua kifurushi cha 1gb..then kasi ndo hio...
BTW am looking for the alternative to airtel..wadau ushauri wenu
BTW am looking for the alternative to airtel..wadau ushauri wenu