Smartphone Iliyo na Kioo chenye Nyufa ni Hatari

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Simu aina ya tecno p3 imeleta madhara ya kiafya kwa mtumiaji.

Simu hiyo INA nyufa kwenye kioo chake. Mtumiaji aliitumia pasiposhida kwa muda. Ghafla mkono ukafa ganzi ambao ndio huutumia kushikia simu.

Siku iliyofuata Mke aliitumia simu hiyo naye akahisi mkono unakufa ganzi. Mtoto pia alipotumia simu hiyo naye akapata shida iyo hiyo.

ANGALIZO: Usitumie kabisa smartphone iliyovunjika kioo chake kikawa na nyufa.
 
Mkuu hiyo ni kwa ku-guess au ni scientific proven?? Maana kutatokea disaster ya pili kwa ukubwa ukiiacha ile ya Mwezi wa TCRA june mwaka huu.
 
Simu aina ya tecno p3 imeleta madhara ya kiafya kwa mtumiaji.

Simu hiyo INA nyufa kwenye kioo chake. Mtumiaji aliitumia pasiposhida kwa muda. Ghafla mkono ukafa ganzi ambao ndio huutumia kushikia simu.

Siku iliyofuata Mke aliitumia simu hiyo naye akahisi mkono unakufa ganzi. Mtoto pia alipotumia simu hiyo naye akapata shida iyo hiyo.

ANGALIZO: Usitumie kabisa smartphone iliyovunjika kioo chake kikawa na nyufa.

Acha uongo
 
Ahsante kwa maoni. Source ni mwanafamilia ambaye ni eye witness wa walioathirika.

Simu husika inasababisha ganzi kwa kila anayeitumia. Hadi sasa, in watu 3 waliokwisha athirika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom