hii compture tatizo litakua ni nini?

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,024
1,173
wadau leo nimewasha compture yangu ikawaka vizuri nlikua nimechomeka headphone nikaconecct kwenye sub faa nimepiga nyimbo 2 tyu gafla ikajizima yenyewe ile nawasha inawaka sema haidisplay chochote screen inakua dark kabisa kama nimezima nini tatizo

msaada wadau
 
Tunge kusaidia kwa haraka endapo ungepiga picha kabisa ya hiyo pc yako
 
mkuu screen inakua dark kama umeizima ila taa za wireless na charge zinawaka na fan inazunguka vizuri tuu ila ndo hvo screen iko dark kabisaaa
 
Back
Top Bottom