JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,924
- 8,174
Wakati mwigine huwa tunazima vifaa vyetu vya umeme. Lakini wakati Huo huo vyanzo vya umeme vinaendelea kuzalisha. Je, umeme ule uliozalishwa huenda wapi? Ingawa najua hilo ni ngumu kutokea kwa gridi kama ya Taifa inawezekana mfano kwa jenereta yako binafsi mfano umeiwasha bila kuunga waya kuvuna umeme uzalishwao.
Pia kama umeme unaozalishwa ni mwingi kuliko unaotumika ile ziada isiyotumika nayo huenda wapi?
Pia kama umeme unaozalishwa ni mwingi kuliko unaotumika ile ziada isiyotumika nayo huenda wapi?