Msaada jamani kuhusu iphone 4

dudukila

Senior Member
Jun 20, 2015
134
37
Jamani naomba munisaidie nina iphone 4 ina shida ina wake kila baada ya 15 sec baada ya kulock screen nimejaribu settings zote nimeshindwa nimeirestore bado nimeshindwa nimesoma kwenye google bado cjapata majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom