Vodafone vf685

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
175
Wakuu kuna rafiki yangu anasimu yake vodafone vf685 aliroot sasa alijisahau akaitoa ile sehemu ya dawnload inayokuwa kwenye simu na sasa hawezi kuinstall app yoyote hata kupitia apk ninaomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom