mwenye kujua hili

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
436
284
jamani wana jamvi mwenye ufahamu juu ya namna utaratitbu unavyofanyika.pale mtu anapokuuzia line ya sim bank.ie airtel money,tigo or mpesa..aliyosajili kwa jina lake.anatakiwa abadili vitu gani.samahani mwenye uelewa naomba ufafanuzi
 
Nenda nae mpaka ofisini kwa wakala alikoinunulia ili mbadirishe usajiri. lah sivyo! itakula kwako
 
Back
Top Bottom