mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Habari za jioni,naitaiji kutumia microsoft office kwenye simu nimeenda playstore zimezikuta tofauti tofauti ipi ni nzuri pale
JARIBU 365Habari za jioni,naitaiji kutumia microsoft office kwenye simu nimeenda playstore zimezikuta tofauti tofauti ipi ni nzuri pale
office 365 ni ya kulipiaJARIBU 365
View attachment 343165
AMBAYO INA WORD EXCELL NA POWER POINT
View attachment 343166
pia ukienda playstore unaweza kuchukua mojamoja,
tafuta ambayo developer wake ni microsoftHabari za jioni,naitaiji kutumia microsoft office kwenye simu nimeenda playstore zimezikuta tofauti tofauti ipi ni nzuri pale
office ni office mkuu hakuna altrrnative ya mictosoft office unless unasoma tu hutengenezi.Microsoft office ya Kwenye simu ni bullshit kabisa,yaani microsoft nimewaona mambumbu sana kwenue simu.Kama unataka kutumia office suit nzuri ambayo utaweza kufanya mambo mengi na unatumia android kaka tumia kingsoft office au polaris yoi will never regret.Lakini ma microsoft office ni hovyo,mm nashanga madeveloper wazuri wanao lakini zipo zipo tu.Functinality ni chache,options ni chache.
Aibu yao microsoft.
office ni office mkuu hakuna altrrnative ya mictosoft office unless unasoma tu hutengenezi.
na umetumia office ipi ya microsoft yenye feature chache? na kitu gani kwengine kipo na ms office hakuna?
Kaka vingi sana,mfano ukichukua kingsoft office au polaris ukacompare na microsoft office.Microsoft office hauwezi kubold,hauwezi kiweka italic,hauwezi kubadilosha font,hauwezi kuweka indents,hauweI kisave formats tifauti,hauwezi ku set pahe sizes.Lakini ukichukua hizo nyingine ziko rich sana,microsoft office nawaona wazuri tu kwenye pc ila simu kama hawataki vile kuenda na wakati au ushindani.Ukichukua polaris mpaka unaweza kucomand ikasoma yote uliyoandika kwa sauti,kama ni kiinhereza inasoma yoye kama mti anaongea live.Mimi mpaka kazi zangu za office ambazo niserious natumia hizo nyingine lakini siyo microsoft office.office ni office mkuu hakuna altrrnative ya mictosoft office unless unasoma tu hutengenezi.
na umetumia office ipi ya microsoft yenye feature chache? na kitu gani kwengine kipo na ms office hakuna?
Kaka vingi sana,mfano ukichukua kingsoft office au polaris ukacompare na microsoft office.Microsoft office hauwezi kubold,hauwezi kiweka italic,hauwezi kubadilosha font,hauwezi kuweka indents,hauweI kisave formats tifauti,hauwezi ku set pahe sizes.Lakini ukichukua hizo nyingine ziko rich sana,microsoft office nawaona wazuri tu kwenye pc ila simu kama hawataki vile kuenda na wakati au ushindani.Ukichukua polaris mpaka unaweza kucomand ikasoma yote uliyoandika kwa sauti,kama ni kiinhereza inasoma yoye kama mti anaongea live.Mimi mpaka kazi zangu za office ambazo niserious natumia hizo nyingine lakini siyo microsoft office.
Yaani chief siku ile mna discus window phone mlini impress sana nikatafuta lumia 830,sasa hivi najuta nataka nirudi kwenye android.
1. umeupdate kwenda windows 10? office yake ni asilimia 96 ya office ya pc haiwezekani vitu basic kama hivyo visiwepoKaka vingi sana,mfano ukichukua kingsoft office au polaris ukacompare na microsoft office.Microsoft office hauwezi kubold,hauwezi kiweka italic,hauwezi kubadilosha font,hauwezi kuweka indents,hauweI kisave formats tifauti,hauwezi ku set pahe sizes.Lakini ukichukua hizo nyingine ziko rich sana,microsoft office nawaona wazuri tu kwenye pc ila simu kama hawataki vile kuenda na wakati au ushindani.Ukichukua polaris mpaka unaweza kucomand ikasoma yote uliyoandika kwa sauti,kama ni kiinhereza inasoma yoye kama mti anaongea live.Mimi mpaka kazi zangu za office ambazo niserious natumia hizo nyingine lakini siyo microsoft office.
Yaani chief siku ile mna discus window phone mlini impress sana nikatafuta lumia 830,sasa hivi najuta nataka nirudi kwenye android.
KWA SIMU IPO PLAY STORE BULE. WEWE REGISTER TU KWA MICROSOFT ACCOUNT. MICROSOFT ACCOUNT PIA INAFUNGULIWA BULEoffice 365 ni ya kulipia
ipo bure ndio lakini haitumiki bure, ingia online soma 365 ni niniKWA SIMU IPO PLAY STORE BULE. WEWE REGISTER TU KWA MICROSOFT ACCOUNT. MICROSOFT ACCOUNT PIA INAFUNGULIWA BULE
SAWA. PENGINE ZIKO NYINGI.ipo bure ndio lakini haitumiki bure, ingia online soma 365 ni nini