Kwa wataalam wa kompyuta

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
967
1,207
laptop yangu ilieleta meseji isiyofutika ikisema kuwa "window is not ginuine" wakati nimetumia window hii zaidi ya miezi 6 sasa. na jana imegoma kabisa kufunguka, nikiwasha inawaka then inaleta maneno "starting window" na bila hata kufunguka

Msaada tafadhar kwa wenye uzoefu na haya mambo

Natumia laptop aina ya lenovo
 
Bila shaka hiyo ni windows7!?..
 
Ingia google tafuta windows activator ya version yako then ifungue install. After hhapo irun pc ita restart then u will be fine to go on au nitumie email nikuatachie hyo file
 
Yaani wewe na Jipu au Fisadi hamna tofauti wote ni wezi tu..sema mmetofautiana viwango ..not genuine means go and buy genuine software full stop.
 
Msaada wadau nina samsung note edge lakini nikiikonect usb kwenye laptop sim haikonect nini tatizo msaada
 
Back
Top Bottom