Tecno camon c8 OT upgrade (4)

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,366
1,319
Nimepata OTA upgrade ya 4 leo hii
ebb200b151eb82b326594827bbea4a87.jpg
 
Ni update ya ku fix some bugs tu. Tuisubiri hiyo ya kutoka version moja kwenda nyingine.
 
Wakuu msaada mi mwenzenu c8 yangu miyeyusho sometime cm naweza pigia MTU 0 inaondoka na mtandao unajibu namba uayopiga haipo sasa sijui tabu ni mini MF. 0717 202020 itaapia 717 202020 haliya kuwa umesevu kwenye cm basi tabu tupu kingine option ya update haiji nimeseti everyday lkn haiji msaada wakuu
 
Nime wauliza kwenye page yao nikajibiwa kuwa tuwe wavumilivu itatoka tu.
Sidhan km tecno watatoa marshmallow kwa c8 coz now wana sim mpya Tecno j8 nayo ina lollipop....na ubaya wa tecno ni kwamba wakitoa sim mpya za zaman wanazisahau me nangoja hyo j8 yao coz nmeona iko vzr inakuja na headphone yake ndo nilichoipendea pia ina 4G
 
Back
Top Bottom