rasta got soul
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 234
- 114
Salamaaaaaa!!
Natumia ipad air2 juzi nikaamua ku hide baadh ya contacts kwenye app ya viber. On the pogress ikanidai nitegenze password na touch id. Nikafanya hivyo sasa tatizo ni kwamba nikitaka kuchat na zile contacts nilizohide inanidai TOUCH ID FOR VIBER. nimekwama msaada kwenye tuta mtu anayefahamu kuzipata hidden contacts kwenye viber
Asante