Msaada: Jinsi ya ku-update simu yangu ya halotel

mogberth

Member
May 1, 2016
29
12
Naomba kujua namna ya ku-upgrade simu yangu Halotel H8501 kwenye settings hamna sehemu ya ku-update
 
kwanini usiwaambie waliokuuzia? ni jukumu la halotel kukupa wewe support ya simu yako na majibu unayohitaji
 
Back
Top Bottom