ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habarini, Siku kadhaa zilizo pita nikikuja na uzi hapa nikiomba watu wanisaidie kunielekeza jinsi ya kuupdate android version toka 5.1 kwenda Marshmallow 6.0 na nina tumia HTC ONE M9!
Kuna mmoja aliniambia nisubiri offical itoke sasa Jana nikaamua kutembelea website ya HTC nikaona wametoa maelekezo jinsi ya Kuupdate Kwenda Marshmallow na kuna njia mbili moja ni kupitia simu na nyingine ni Manually unatumia Pc
NilimPM Chief Mkwawa kumuuliza kama kweli offical update imetoka Chief Mkwawa akanielekeza kitu kizuri sana (Thanks bro) alisema katika simu yangu niende settings>about phone>software updates halafu niangalie
Kweli nilifanya hivyo na nikaona wananiambia update ni Available na ukubwa wa file la kudownload ni 1.26GB
kwenye Website ya HTC Waliniambia kuwa wakati nina update kupitia simu moja kwa moja simu yangu ita jireboot mara kadhaa na nisishangae na itachukua mda kama wa dakika 60 kukamilisha!
Nikajiunga bundle la voda 4GB SA 5 NIKAAnza kudownload nilipo maliza nika install update na ikaanza kuji update hadi ikamaliza bila usumbufu wowote wala shida yoyote ile
Hatimaye sasa natumia Android Version 6.0 Marshmallow na Enjoy sana kikubwa ni kuwa Charge ya Simu yangu haiishi haraka kama Mwanzo hapa nipo net toka sa ngapi sijui na Charge inaenda kidogo sana na ukiwa huitumii ndo inatunza sana kwa sababu ya Uwezo wa hii Version
On Top yaani kwa screen kuna news zinakuwa zinatokea pale current news all over the world nikitaka nasoma
Pia security hii version ipo vizuri!
Kwa wote walio kuwa wanahangaika kupdate mnaweza kutumia njia ambazo mimi nimetumia!