Msaada receiver ya MediaCom ina scrutch

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,458
2,465
Habarini!, Dishi hapo awali lilipoteza channel zote za TV. Alipoitwa fundi; fundi akarekebisha na channel zikarejea kama kawaida, tatizo limekuja kwamba channel zote hazionekani yaani zina_scrutch tu na channel hazionekani. Fundi akadai tunner itakuwa imekufa hivyo inatakiwa kununuliwa nyingine lakini kabla ya kufanya hivyo nimeamua kuja kwa wataalam ili mnisaidie maelezo yatakayonisaidia kuirekebisha pasipo kubadili hiyo tunner, ikishindikana endapo mtakuwa na uelewa basi nipatiwe bei za receiver na mahali zinapopatikana ili niweze kuangalia unafuu wa gharama na kufanya uchaguzi sahihi wa ufumbuzi wa tatizo. Ahsanteni na karibu kunipatia maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom