Msaada wa namna ya kutengeneza bootable flash

Download kiprog kidogo kinaitwa poweriso ..Kisha fuata maelekezo ila atleast flash inatakiwa iwe kubwa kutegemeana na iso image yako..

Cc
Senator jr
 
Mdau naomba unielekeze namna ya kuroot simu yangu Halotel H8501 kwani nilikuwa natafuta font lakini nikitaka kutumia zinagoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom