Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

Slm

Senior Member
Jan 26, 2011
103
4
1462113983748.jpg
1462113994314.jpg

Simu yangu aina ya 1 plus kioo kimefunjika haifanyi kazi kabisa ila kinaonyesha, kwa yeyote mwenye kujua sehem vinavyopatikana anijulishe please!
Natanguliza shukurani zangu asante
 
nenda mtaa aggrey kariakoo hapo hakishindikani kitu ila uwe makini usiache simu yako wabadilishe huku ukisuburi..kama upo daslaam..
 
daaah one plus imeipata wapi mzee....simu adimu sana hiyoo??
 
Back
Top Bottom