If you have subscribers with an @facebook.com email address, read on. Facebook announced that it is retiring its email service completely and will stop forwarding messages to your primary email...
Kuna mdogo wangu nilimpa simu yangu atumie kwa muda simu aina ya TECNO M3 kutumia lakini nikaihitaj tena baada ya pale simu haisomi mtandao zile bars hazionekani inaandika invalid Imei hata...
Napenda kujua inakuwaje hadi programming language Inatengenezwa na je zile codes zake huwa zinawekwa sehemu yani kwenye computer na inakuwaje computer kama windows xp kuweza kuelewa latest...
Watumiaji wengi wa simu janja wanalalama kuhusu chaji katika simu wengine wakinunua kitunza umeme ili waweze kutumi simu zaidi, ila kuna vitu tunavifanya na simu janja hizi vinzvyotumia chaji...
Nimepoteza scratch card yenye activation key za kaspersky cd, nina cd tuu, niliinunua kariakoo
kwa bahati mbaya nilifuta window na nikairudishia hivyo nahitaji kuirudishia pia hiyo
antivairus...
Wakuu naomba mwenye link ya hii app ya VideoFX Music Video Maker Pro Apk V2.3.7 naomba anisaidie tafadhali.
Ambayo niko nayo ni limited version so kuna baadhi ya fx zipo locked until niwe na pro...
Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda...
Habari zenu wana jf...
Naomba kujuzwa kama kuna madhara yoyote endapo utaflash simu ili itumie line zote....
Kwasababu nmesikia endapo ukiflash simu uimara wake unapungua je ni kweli?? Na pia kuna...
Simu yangu ni TECNO M5, Ina virus anaitwa times service, anti virus zinachofanya ni ku- disable ,virus huyu haruhusu kuinstall app nyingine yoyote, nime-format handset lakini virus yupo na...
Jamani kama unajua wasifu/specificanion au ulishawai itumia nishauri nimeipenda je nikinunua nitapata matumizi ya apps za kutosha au ntabaniwa msaada please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.