Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,379
- 1,879
Habari za asubuhi wana JF....jana nilipeleka flash yangu stationery moja hivi kwaajili ya kuprint document flan.......nilipokuja kuileta kwenye PC yangu hali ulikua mbaya....nilijisahau nikaopen mafaili yangu ya kwenye flash,,,,nikagundua nimeingiza virus ....natumia kerspesky antivirus ambayo ni original lakini imeshindwa kuua huyo mdudu,,,,,sasa kompyuta imeanza kumisbehave....naombeni ushauri au msaada nifanyaje