Msaada Tecno h6

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
175
Wadau niliroot simu yangu sasa ninataka kuiludisha katika hali yake ya kawaida nitumie njia gani! Ni Tecno h6.
 
Hiyo option siioni ya Ku unroot
3b1e557b02b5b8c46b6861514fd50c81.jpg
 
Cheki hizo screen shoot hiyo ya kwanza hapo juu hili upate menu bonyeza hapo juu kulia kwako kwenye vidot vitatu kisha endelea na hatua zingine kama unavyoona kwenye screen shoot
 
Nimesha unstall hiyo kingroot sasa tatizo linakuja nikitaka kufanya hard reset inagoma
 
Ilishawahi kunikuta iyo.. Mie kwangu hard reset ilikubar.. Ila apps zote za google ziligoma kufanya kazi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom