Mwenye kujua namna ya kuondoa pattern katika Samsung

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
860
620
Kwa bahati mbaya rafiki yangu kasahau pattern katika simu yake. SAMSUNG GALAXY GRAND CORE..mwenye kujua namna ya kurestore au njia nyingne ya kutoa.plz msaada wako ni muhimu sana
 
Zima simu yako, ikishakua completely off washa ukiwa umehold vol+ na power button at same time ( inategemea Pia na model ya simu ) then ikiwaka utaingia kwenye recovery menu hapo ndio unaweza kurestore ur phone mkuu
 
Back
Top Bottom