MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Waungwana,
Ninamiliki simu inayotumia OS ya Android. Tangu jana mchana nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa namba inayodai kuwa "+1234" ikituma ujumbe unaosema "You're sending from Fake Source-message rejected".
Sielewi ujumbe huu una maana gani. Je, ni jaribio la hackers kutaka ku-gain access kwenye simu yangu?
Mwenye majibu tafadhali tuelimishe. Ujumbe huu umekuwa ukitumwa kwa watu wengi.