Some Linux Distros with DHCP issue

mose_nd

Member
Jul 6, 2012
20
11
Salama wadau,

Nimetumia Distros kadhaa kama openSuse, Fedora, Mint, nk ila kwenye wired network zinashindwa kupata address, nkiweka manually inasema connected ila kunakuwa hakuna flow yoyote ya data.

Tatizo nini labda?
 
c33a3dbe6745f2c03d6429177f6fd3de.jpg
758082f0c343290c0ebf91fd0904d0d4.jpg


Japo sipo kwenye network kwa sasa, ntatuma screenshot nyingine kesho nkiwa huko. Hapa nimetuma tu just in case it helps.
 
Back
Top Bottom