Naomba msaada wa kuweka update ya HiOS kwenye tecno camon c8 yangu

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
Tafadhali ndgu wa jukwaa la tech naomba msaada wenu namna ya ku upgrade tecno c8 yangu kwenda HiOS manager nimeona matangazo yao kwenye fb nimekuwa interested sana. Mwenye kujua kuhusu hili kitu naomba msaada wako tafadhali
 
Ni kweli kabisaaa mkuu hata mimi imenishinda tungoje wataalam waje kutuonyesha namna ya kuupgred
 
Nashukuru kwa kupitia katika post hii. Hatua zote nimefuata cha kushangaza kinachobadilika ni build number ba app ya hi manager inaongezeka lkn si kile wanachokitangaza tecno kuwa theme, wallpaper, zinabadilika
 
Basi subiria official itakayo toka pamoja na tecno j8 tarehe ndio sijui .
 
Nimeona moja ya hizo Link, wanasema simu ako haipaswi kuwa ume-root, je ikiwa umeroot na uka-update nini kitatokea? Nisaidieni kwa hili maana mi nime-root simu angu
 
Ya nami nimeona hivyo pia wameshauri kwa walioroot simu wa unroot kwanza ndo waweze kuweka hiyo HiOS
 
Nimeona moja ya hizo Link, wanasema simu ako haipaswi kuwa ume-root, je ikiwa umeroot na uka-update nini kitatokea? Nisaidieni kwa hili maana mi nime-root simu angu
Ndugu usije ikajaribu ku update simu yako ikiwa rooted, utaikosa kabisa. Ifanyie kwanza unroot then update baada ya hapo i root tena kama unaona kunahaja ya kufanya hivyo.
 
Wapendwa naomba ni warudishe nyuma kidogo naomba maelezo juu ya hiyo kitu sielewi kabisa
 
Ku-root simu ndio kuifanyaje na nini faida na hasara za ku-root.Ahsante.
Hoja yako ilisha jadiliwa sana humu jf pia google it utapata maelekezo but usijaribu kama hujui unachikifanya otherwise kama umeichoka hiyo simu.
 
Hoja yako ilisha jadiliwa sana humu jf pia google it utapata maelekezo but usijaribu kama hujui unachikifanya otherwise kama umeichoka hiyo simu.
Mtaalamu Hans, Naomba maelekezo ya ku-unroot... Kingereza cha mitandao kinanisumbua
 
Mf. Mm nimeroot kwa kingroot, na nilitaka ku-unroot, nitumue njia ipi?
Fungua kingroot nenda kwenye vidoti vitatu vipo mkono wa kulia kwa juu then ingia General setting utaona neno unistall kingroot bofya hapo na ukubali step zote kingroot itajifuta na root itakuwa imeondoka, kuhakiki pakuwa root checker playstore.
 
Kama kuna mtu ana simu tajwa aniuzie. Iwe kwenye hali nzuri kwani namnunulia mtu zawadi. Bei niliyojipanga nayo ni LAKI NA NUSU (150,000/=) TU.
 
Back
Top Bottom