Mbona hueleweki timetable ipi? Kwani we unacho taka ni kipi
Tatizo hapa jamiiforum kila mtu ni mjuaji, kabla ya kuelewa swali ni vizuri usikoment vinginevyo unajidhalilisha, ni hivi ndugu ms. word na ms.excel zitakuwezesha kuandika timetable ambayo tayari draft yake unayo lakini zenyewe km software hazitoweza kukupa templete za kuandaa tinetable kuanzia mwanzo, hivyo unalazimika kutafuta software maalum ambazo zipo mitandaoni lakini utalazimika kununua, ngoja nikutaftie link zaketumia word kuna option ya table, kwenye hizo draft utaingiza info pia tumia option ya merging, insert merges delete merge na text alignment kufanikisha. nimeeleza kwa ufupi ila nahisi wadau wataongezea
wote mpo sahihi mfano mtu unaandaa ratiba ya darasa moja ina masomo mawili moja linaanza saa 7 hadi 9 na jengine 10 hadi 12 hii nayo itahitaji software maalumu? si unachapa faster kwenye word au excel? wanaohitaji hizo software ni wale wanaotengeneza ratiba kubwa kama vile za chuo ambazo course zinaingiliana kuepusha mtu kuwa na vipindi viwili kwa wakati mmojaTatizo hapa jamiiforum kila mtu ni mjuaji, kabla ya kuelewa swali ni vizuri usikoment vinginevyo unajidhalilisha, ni hivi ndugu ms. word na ms.excel zitakuwezesha kuandika timetable ambayo tayari draft yake unayo lakini zenyewe km software hazitoweza kukupa templete za kuandaa tinetable kuanzia mwanzo, hivyo unalazimika kutafuta software maalum ambazo zipo mitandaoni lakini utalazimika kununua, ngoja nikutaftie link zake
Mi natafuta siftware ya kupanga matokeo ambayo naweza kuorodhesha kila mwanafunzi na total score yake lakini nikaicomand ikanipangia wa kwanza hadi wa mwisho.
Jaribu CELCAT Timetabling.Me natak software ,kwa sababu naandaa time table ya chuo , ndo maana naomba msaada wa software wakubwaa , Chief mkwawa ,ISO M.CodD
Asanteni sana wakubwa ,ngoja nizijalibu zote izoo hapo juu...thankx a lot
Excel inaweza kufanya hayo, ukijuwa kuitumia tu, maanake hapo kuna suala la kuandaa formula mchezo umekwishwa, hata ukiwa na wanafunzi milioni, zaidi unaweza kuni pmMi natafuta siftware ya kupanga matokeo ambayo naweza kuorodhesha kila mwanafunzi na total score yake lakini nikaicomand ikanipangia wa kwanza hadi wa mwisho.