Msaada wa haraka tafadhali

Ben Nyoni

Senior Member
Dec 28, 2014
115
136
naangalia game ya bayen na atletico kupitia app ya modro but inagandaganda na mtandao upofull,sasa nn tatizo msaada wataalam.Na tanguliza shukran zangu
 
Shida ni mtandao wa sim hapo sio application bila shaka, pengine watu weng wako net now
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom