the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,906
Habarini za asubuh .
Natumia laptop ya dell nimeinstall windows 10 kwa kutumia usb device(flash) tatizo laptop sasa inapokea signal za wifi kutoka kwenye any windows phone only nikiconnect kwa simu za android au wifi ya ofisini inaconnect but no network inaweka alama ya njano kwenye signal bar ya network na hata usubiri masaaa still inabaki hivyo hivyo ila windows chap inapokea ,kabla ya windos ten kuweka nilikua nimeweka windows seven na kila kitu kilikua safi,nambeni msaada wenu nitatue tatizo inanitesa na kazi nyingi zinalala.
Natanguliza shukrani ,Ahsanteni